Ukijipa ukubwa wanakuja wakubwa zako wanakukanda na kukukumbusha kuwa Wewe ni underdog tu!
Leo Simba atapigwa kama ngoma , 7-0!
Kelele zote za Simba mwisho saa 5 usiku wa ijumaa! Itakuwa aibu ya mwaka! Aibu ya nchi. Simba itapigwa khamsa ishirini!!
Wanayanga tukae siti za mbele vibanda umiza Ili Simba waweze kukimbia bila bugudha benchi za nyuma
Wanayanga tuwe wapole kushangilia magoli ya Wydad na tusiwatanie Makolo Fc maana watajaa hasira na kutupiga. Tuwe makini maana tunaweza kuambulia vipigo migumi na Mateke, judo, kungfu, Tai chi, karate, kick boxer na upper cut!