babu onyango
JF-Expert Member
- Jan 12, 2023
- 378
- 984
Yaani huwaoni kabisa humu jf, sijui wamepatwa na jambo gani? Huko mitaani ndio kabisaa hawataki hata kujua kama Kuna mechi ya marudiano.
Mpira ni furaha ila kwao umegeuka ni mateso.
Wanaomba iyo 28/04/2023 isifike[emoji23][emoji23]
Hebu Kila mmoja wetu aombe kwa dini yake ili iyo kesho adhabu ipungue kidogo.
Angalau wafungwe hata goli 5-0 ili aibu isiwe kubwa sana.
Nawasilisha...........