Geza Ulole
JF-Expert Member
- Oct 31, 2009
- 65,136
- 91,917
Jamani Maccm pambaneni na maisha zenu.Wachana na Mambo ya Kenya.Naelewa maisha ni ngumu hamtapata buku zenu Saba but biashara ni mingi mnaezafanya.Ambieni baba tukufu Magu awatafutie biashara mujishugulishe mtakufa maskini kwa kupoteza muda mingi mtandaoni [emoji23][emoji23][emoji23]
achana nasisi tuna uhakika wa kula,waulize wenzio tulikuwa tunakesha nao 24/7 wakatuiga ikala kwao[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Jamani Maccm pambaneni na maisha zenu.Wachana na Mambo ya Kenya.Naelewa maisha ni ngumu hamtapata buku zenu Saba but biashara ni mingi mnaezafanya.Ambieni baba tukufu Magu awatafutie biashara mujishugulishe mtakufa maskini kwa kupoteza muda mingi mtandaoni [emoji23][emoji23][emoji23]