Tuwaombee Kenya, hali inazidi kuwa mbaya

Jamani Maccm pambaneni na maisha zenu.Wachana na Mambo ya Kenya.Naelewa maisha ni ngumu hamtapata buku zenu Saba but biashara ni mingi mnaezafanya.Ambieni baba tukufu Magu awatafutie biashara mujishugulishe mtakufa maskini kwa kupoteza muda mingi mtandaoni [emoji23][emoji23][emoji23]

Acha kelele kapeane kwa askari wa Uganda[emoji16]
 
Jamani Maccm pambaneni na maisha zenu.Wachana na Mambo ya Kenya.Naelewa maisha ni ngumu hamtapata buku zenu Saba but biashara ni mingi mnaezafanya.Ambieni baba tukufu Magu awatafutie biashara mujishugulishe mtakufa maskini kwa kupoteza muda mingi mtandaoni [emoji23][emoji23][emoji23]
achana nasisi tuna uhakika wa kula,waulize wenzio tulikuwa tunakesha nao 24/7 wakatuiga ikala kwao[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Back
Top Bottom