Tuwaombee sana Watanzania wenzetu waliopo Kuwait na nchi zingine hapo Uarabuni

Tuwaombee sana Watanzania wenzetu waliopo Kuwait na nchi zingine hapo Uarabuni

Keyboard_Warrior

JF-Expert Member
Joined
Oct 10, 2015
Posts
6,381
Reaction score
11,296
Sala zetu zinahitajika, nasikia kuna Wabongo wengi sana hapo Arabuni.
Huyu Iran anafanya mambo ya ajabu sana hapo mashariki ya kati.
Tuwaombee ndugu zetu.


Screenshot_2026-07-18-16-11-46-63_40deb401b9ffe8e1df2f1cc5ba480b12.jpg
 
Kibaya zaidi serikali yetu haina contingency plan yoyote katika hali kama hizo.

Hakika tuwaombee.
 
Back
Top Bottom