Keyboard_Warrior JF-Expert Member Joined Oct 10, 2015 Posts 6,381 Reaction score 11,296 Jul 18, 2026 #1 Sala zetu zinahitajika, nasikia kuna Wabongo wengi sana hapo Arabuni. Huyu Iran anafanya mambo ya ajabu sana hapo mashariki ya kati. Tuwaombee ndugu zetu.
Sala zetu zinahitajika, nasikia kuna Wabongo wengi sana hapo Arabuni. Huyu Iran anafanya mambo ya ajabu sana hapo mashariki ya kati. Tuwaombee ndugu zetu.
Mtemi mpambalioto JF-Expert Member Joined Aug 23, 2015 Posts 4,006 Reaction score 9,542 Jul 18, 2026 #2 Walete na Dubai burji halifa pale
Marcostilone JF-Expert Member Joined Jun 25, 2023 Posts 7,018 Reaction score 17,932 Jul 18, 2026 #3 Kibaya zaidi serikali yetu haina contingency plan yoyote katika hali kama hizo. Hakika tuwaombee.
Smart911 Platinum Member Joined Jan 3, 2014 Posts 179,428 Reaction score 197,153 Jul 18, 2026 #4 Ngoja wanyoshane kidogo... Cc: Mahondaw