Resilience
JF-Expert Member
- Jan 4, 2023
- 1,096
- 4,948
TBC wamekuwa reporter kwa muda mrefu. Madhara yake kila wanachoambiwa na viongozi wa nakipeleka hewani kama walivyoambiwa hakuna kuongeza wala kupunguza.
Hakuna analysis wanaoruhusiwa kufanya wala critics yoyote waliyopewa nafasi kuifanya. Wameaminishwa kwamba wakifanya analysis wataonekana wanakosoa serikali.
Tumeona mtangazaji aliyefipoti tukio la Meli huko mwanza kwamba itaenda hadi Sidani Kusini.
Tumeona utetezi wao kwamba eti mtangazaji hakulenga meli itaenda Malawi bali itabeba mizigo ya Malawi; unajiuliza hiyo meli itabebaje mizigo kutoka Malawi? Itaipeleka wapi hiyo mizigo
Lakini wakati huo huo pamoja na kukiri kwamba mtangazaji alipitiwa kibinadamu wamesema amechukuliwa hatua.
Kibaya zaidi tangazo lililopelekwa kwa umma nalo lonasomeka mwaka 2023 na mwaka 2017. Maana yake aliyeandika pia anapaswa kuandikiwa tangazo kwa umma kuonyesha kwamba nayeye amechukuliwa hatua.
Taasisi inapokuwa na hali hii, uombewa ili Mwenyenzi Mungu afungue macho kwa watawala wateue watu wengine. Lakini pia tuombe watawala watambue kadri uchawa unavyopewa headlines tbc ndivyo fikra za viongozi zinavyoporomoka.