4by94
JF-Expert Member
- Oct 1, 2019
- 9,214
- 8,306
kwasasa WEST watakuwa wanawaacha muuane tu , mkichoka mnatulia , wakijihusisha mnawaita wameivamia nchiOdinga kaingizwa kingi mara ya pili. RUTO kashachukua ndoo maana hakuna EU wala USA voice iliyopinga basi hilo ni goli halali.