Hiyo kitu haipo na haitokaa itokee katika ulimwengu wa sasa.Hakuna Kiongozi mwenye hizo guts za kuchinja wenzie na akabaki salama hayupo na hasa kwa Kenya,unless anataka yale ya 2007 yajirudie tena na Nchi isitawalike kabisa.
Kama watamuonea Ruto nakumpokonya ushindi wake halali mark my words kabla ya kujiua na kutembea uchi siku tatu mfululizo nitakunya na kutapanya marvey Kila Mahali KUACHA laana mbaya kwa Raila na wafuasi wake wote