mess mwenyewe kaoa ndoa ya kanisani, diamond ni nani!!!
Maamuzi magumu ukiwa star, japo msimamo ni muhimu ila mitihani mingi aisee. Kwangu mie ningekua napita na watoto classic tu na sirudii!!! Vile vitoto vya 21-24 hapo vilivyonyooka hamna anaeruka kwa mtongozo wa Star!
Yani watoto wazuri kama malaika wale, sio uchafu uchafu kama akina hamisa et.al na mashankupe ya mjini.
Nampa kazi mpambe wangu tu anichekie kazi kali. Apite UDSM akanipointie wale watoto mwiba mkali. Simu moja tu namaliza.
Wewe unamzungumzia Christiano Ronaldo yupi?Kina christiano wametulia na familia zao
Nikizipata magari mawe kuta na miti zitaandikwa kwa jina languSijui hata nimewaza nini!
Katika pita pita zangu leo, nikanyapia ukurasa wa Cristiano Ronaldo. La haula! Nikakutana na nilichokiona, mateso ya wivu yakaujaa moyo wangu.
Watu wanakula maisha dadadeeki!
Nikawaza kikwetu kwetu nikamwona Platnumz, the kiss to the ladies! Bebez kama zote zinataka kuliwa pale, tena zinajitokeza hadharani kulialia na zingine kutwa kucha kwa waganga.
Mi mwenyewe tu nikipata posho kidogo huwa najiona sio wa demu mmoja, sasa Dangote inakuwaje!
Sio kama wanapenda, ni vigumu kuufunga moyo kwa mtu mmoja eti “I’m all for you!” hell not.
Nikizipata!
Extrovert una mahesabu makali mzeeMaamuzi magumu ukiwa star, japo msimamo ni muhimu ila mitihani mingi aisee. Kwangu mie ningekua napita na watoto classic tu na sirudii!!! Vile vitoto vya 21-24 hapo vilivyonyooka hamna anaeruka kwa mtongozo wa Star!
Yani watoto wazuri kama malaika wale, sio uchafu uchafu kama akina hamisa et.al na mashankupe ya mjini.
Nampa kazi mpambe wangu tu anichekie kazi kali. Apite UDSM akanipointie wale watoto mwiba mkali. Simu moja tu namaliza.
Ngumu sana mkuu. Bila kuwa na hofu ya Mungu huwezi.Inawezekana, ni kuamua tu. Sema lazima ufanye selection ya ukweli na moyo wako woote uridhie [emoji28]
Kuwa na mwanamke mmoja ni sawa na kuvaa nguo moja kila siku. Madhara yake kupata chawa, pili unakuwa huna tofauti na kunguru kasoro mabawa tu.Hivi mkilala na wanawake wote hao huwa kuna kitu mnakiongeza? Huwa mnajisikiaje kwa mfano?
Yaani sijui niseme unielewe point yangu....basi tu.
Kuna kiongozi mmoja yeye alikuwa kila anapokwenda au akifanya mikutano anaagiza tu niletewa yuleee
"Nkizipa mademu wote watakoma"Da wimbo wa kitambo wa mshijaji Eluka sijui yuko wapi.Hop hop ya ukweliNikizipata, nitakuwa kama Platnumz.
Sure, ni suala la kuamua tu kutulia.Kina christiano wametulia na familia zao
Umenikumbusha ngoma moja ya zamani ilikua inaitwa nikizipata sijui kaimba nani