Tuwaonee huruma watu kama Diamond Platnumz, sio rahisi kuchagua mpenzi mmoja

Tatizo la Mond anadate vislay queen havina mbele wa nyuma...akija kupata mdada super star wa ukweli au ana mawe ya kutosha (sio kama yule mjane)anatulizwa na atatulia ...
 
Maamuzi magumu ukiwa star, japo msimamo ni muhimu ila mitihani mingi aisee. Kwangu mie ningekua napita na watoto classic tu na sirudii!!! Vile vitoto vya 21-24 hapo vilivyonyooka hamna anaeruka kwa mtongozo wa Star!

Yani watoto wazuri kama malaika wale, sio uchafu uchafu kama akina hamisa et.al na mashankupe ya mjini.

Nampa kazi mpambe wangu tu anichekie kazi kali. Apite UDSM akanipointie wale watoto mwiba mkali. Simu moja tu namaliza.
 
Hivi mkilala na wanawake wote hao huwa kuna kitu mnakiongeza? Huwa mnajisikiaje kwa mfano?

Yaani sijui niseme unielewe point yangu....basi tu.

Kuna kiongozi mmoja yeye alikuwa kila anapokwenda au akifanya mikutano anaagiza tu niletewa yuleee
 
Sijui hata nimewaza nini!

Katika pita pita zangu leo, nikanyapia ukurasa wa Cristiano Ronaldo. La haula! Nikakutana na nilichokiona, mateso ya wivu yakaujaa moyo wangu.

Watu wanakula maisha dadadeeki!

Nikawaza kikwetu kwetu nikamwona Platnumz, the kiss to the ladies! Bebez kama zote zinataka kuliwa pale, tena zinajitokeza hadharani kulialia na zingine kutwa kucha kwa waganga.

Mi mwenyewe tu nikipata posho kidogo huwa najiona sio wa demu mmoja, sasa Dangote inakuwaje!

Sio kama wanapenda, ni vigumu kuufunga moyo kwa mtu mmoja eti “I’m all for you!” hell not.

Nikizipata!
Nikizipata magari mawe kuta na miti zitaandikwa kwa jina langu
 
Maamuzi magumu ukiwa star, japo msimamo ni muhimu ila mitihani mingi aisee. Kwangu mie ningekua napita na watoto classic tu na sirudii!!! Vile vitoto vya 21-24 hapo vilivyonyooka hamna anaeruka kwa mtongozo wa Star!

Yani watoto wazuri kama malaika wale, sio uchafu uchafu kama akina hamisa et.al na mashankupe ya mjini.

Nampa kazi mpambe wangu tu anichekie kazi kali. Apite UDSM akanipointie wale watoto mwiba mkali. Simu moja tu namaliza.
Extrovert una mahesabu makali mzee
 
Hivi mkilala na wanawake wote hao huwa kuna kitu mnakiongeza? Huwa mnajisikiaje kwa mfano?

Yaani sijui niseme unielewe point yangu....basi tu.

Kuna kiongozi mmoja yeye alikuwa kila anapokwenda au akifanya mikutano anaagiza tu niletewa yuleee
Kuwa na mwanamke mmoja ni sawa na kuvaa nguo moja kila siku. Madhara yake kupata chawa, pili unakuwa huna tofauti na kunguru kasoro mabawa tu.
 
Umenikumbusha ngoma moja ya zamani ilikua inaitwa nikizipata sijui kaimba nani

Nikizipata, aah mbona itakuwa noma,
Nikizipata, mbona wanga wote watakoma/

Nikizipata, wengi watajiita jina langu,
hata mademu walonitosa watataka wawe wangu!

Eluka [emoji441][emoji442]
 
me binafsi hata niwe na mawe kiasi gani lazima nile na mwanamke angu mmoja tu .hasa mke wa ujana wangu
nb;lazima awe amechangia maendeleo yangu sio kakuta nishapiga hatua
 
Back
Top Bottom