BabaMorgan
JF-Expert Member
- Dec 18, 2017
- 4,869
- 13,137
Kuna mabrother na wadogo zetu ambao wana roho mbaya sana kwenye ishu zinazohusisha maslahi kitu pekee wanachofikiria ni nafsi zao pekee mbaya zaidi wao ndio upewa kibali na mamlaka kuwa njia ya riziki kwa watu wengine unfortunately wanatumia kibali hicho kujinufaisha.
Mimi Babamorgan ni Baba na kaka pia Kuna cycle inaniangalia niweze kugharamia basic needs zao unanifanyia fitina na kutumia shida zangu na kunitumia kama cheap labour bro mimi mwenyewe inanipain kuona watoto wako wakinawiri wakati mtoto wangu anachakaa kama chokaraa.
Brother Mimi pia natamani wikiendi kama hii nitoke nipate kinywaji nichome nyama ikiwezekana nikalale gesti na malaya mkali kama wewe brother ila nashindwa sababu pesa nayopata inashindwa kuafford hata milo mitatu kwa siku.
Tuwape pongezi mabrother wote wanaojua nini maana ya maisha ambao yeye ukimfanikishia mchongo wa laki atakupa 40 yeye abaki na 60 that is brotherhood much respect bigboys.