Tuwapime Deo Ndejembi vs John Heche wanapohutubia. Yupi ana "connection" zaidi na wananchi?

Tuwapime Deo Ndejembi vs John Heche wanapohutubia. Yupi ana "connection" zaidi na wananchi?

John Wegesa Heche is Tanganyika's strongest orator since independence.

Today in Kilimanjaro he thanked the clergy who accompanied him at the rally, and reminded the nation of the German Reveland Father who never thought Adolf Hitler would get to him. Anyone of us, as it was in Nazi German, Heche proclaimed, is red meet to blood thirsty CCM abductors.

Then he talked about food imports. Saudi Arabia, a dry and desciccant desert , took arable soil from Zimbabwe, he says, cultivated wheat and is now selling it to Tanzania, a most arable and wettest country in the world. Our country, Heche said, is run by grifters, killers and numbskulls stuffed with feaces in their heads. Vichwa vyao vimejaa mavi.
 
yaani unamfananisha mropokaji, mvuta bangi, addicts wa kubeti dhidi ya kiongozi mchapakazi wa nchi, mweledi mwenye hekima na busara, surely?

saa zingine acheni masikhara jamani dah 🐒
Haaaaaa
 
Utampimaje mvuta bange Heche na msomi mwenye hekima Ndejembi, ni sawa na kulinganisha mbingu na ardhi
 
..Deo angefaa kuwa mtangazaji wa TV.

..anapohutubia unaona anajali zaidi muonekano wake kuliko ujumbe anaojaribu kuufikisha.
 
..Deo Ndejembi akihutubia watu hukaa kimya.

..John Heche akihutubia watu huwa na muitikio wa papo kwa papo.

..mikutano ya Deo Ndejembi huwa imepooza.

..mikutano ya Heche huwa na uchangamfu fulani. Staili ya Heche inafanana na ya wahubiri, au wafanya mihadhara.
 
Back
Top Bottom