Kaitaba naona inatumika.Relax first tuzione hizo skrini kwenye mechi za mkoani!
mechi za mikoa wap na wap unapazunguzmiaEeh kweli video support imepunguza sana hizo makeke za kibinadamu, ila bado kuna mechi za mkoani zinaendelea bila skrini na hapo ndio maafa. Ngoja tuone ligi itakavyomalizika, maana FVS ikiwa ipo kote ndio itakua fair kabisa. ngoma
Simba SC ndio wanafuaika wakubwa wa makosa ya marefa 'makosa ya kibinadamu'. Mechi ya kwanza tu tayari wamepata kadi nyekundu, watauchukia sana mfumo wa FVS. Muda utasema.Simba na Yanga zitauchukia mfumo very soon kwakuwa ya tabia zao dhidi ya timu nyingine kwenye ligi.