Tuwapongeze wa kijani kwa kudhibiti rushwa lakini sasa "umaarufu" je ?

Tuwapongeze wa kijani kwa kudhibiti rushwa lakini sasa "umaarufu" je ?

ego

JF-Expert Member
Joined
Apr 10, 2013
Posts
1,620
Reaction score
1,408
Ni jambo lililowazi kwamba rushwa kuna dalili za kutaka kuidhibiti kwa kila hali na mali.

Ni mategemeo yangu kwangu jambo hili halitazamwi kwa kutafuta kama hakuna aliyepokea chochote bali kwa dhamira ya dhati kutoka juu na kitihada za vyombo husika na pongezi zinalenga huko.

Lakini sasa katika maboresho yoyote ni lazima changamoto mpya hujitokeza na macho sasa hutazama changamoto mpya.

Kwa mtizamo wangu wa haraka ni vigumu kwa watia nia kujitokeza siku moja mbele ya wajumbe na kuwashawishi wawapatie kura .

Ni wazi watu maarufu na viongozi wa zamani wanakuwa na nafasi zaidi kutokana na majina yao.

Inawezekana jamii nzima ikatazama ni kwa jinsi gani "new ideas" zinaweza kupewa nafasi ya kuibuka.

In short mabadiriko ni mchakato
 
Watia nia wote walipewa zaidi ya siku kumi na tano za kujipitisha pitisha kwenye majimbo yao. Au hukuielewa kauli hii?
 
Rushwa imetembea sana kama kawaida hakuna pongezi bali lawama kwa ccm.
 
Kama rushwa na umaarufu ingekua kete basi Dr Kimei angepita
 
Muda huu kawe wagombea baadhi wanatembeza rushwa ,wapiga kura wamehifadhiwa sehemu

Ccm na rushwa ni ndugu moja
 
Back
Top Bottom