wewe unatafuta umaarufu kumtaja mtu VIP kama muosha rungu!Kumetokea wimbi la vijana watafuta sifa na kiki hapa JF ambao wanatumia majukwaa kuandika vitu vya kijinga kwa manufaa ya kutafuta umaarufu na hao vijana ni
1.muosha rungu
2.Alonso14
Hawa vijana wanatafuta umaarufu na sifa za kijinga kama ....yule jamaa wa kule Dar naomba tuwapuuze hawa watu maana List zao nimelenga kuleta matabaka JF na chuki zisizo na msingi ..
Yangu ni hayo tu
Manini?Makubwa
tehe tehe tehe niliyoyasomaManini?
Aiseetehe tehe tehe niliyoyasoma