Tuwapuuze watafuta sifa JF

Simply put..kudos mkuu, kula like
 
Sikutaka kuchangia uzi huu maana una sura ya kuwepo kwa mgongano binafsi wa mtoa mada na wahusika. Ili tukusaidie uishi vizuri humu jamvini funguka zaidi utujuze, hawa jamaa wanatafuta kusifiwa na nani? Na je wakisifiwa inakuathiri vipi wewe au watu wengine? Sifa za kijinga ni zipi? Je unamaana hata wanaowapa likes ni wajinga? Malizeni tofauti zenu nje ya forum itaonyesha busara zaidi.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…