Tuwapuuze watafuta sifa JF

Tuwapuuze watafuta sifa JF

Hii ni jamii pana yenye mchanganyiko wa watu wa aina mbali mbali.....na sote kwa pamoja kulingana na michango ya hao wanajamii ndio tunaifanya jamiiforums iwe pahala pa kuvutia.......Jamii hii ina majukwaa mbali mbali kulingana na utashi wa mhusika.....ukiona hauendani na maudhui ya jukwaa husika....au hauendani na baadhi ya thread kwa viwango vyake.....ni vyema ukakaa kando....Msawazo kwenye jamii yoyote hauletwi kwa kupendezeana bali kwa kwa kuvumiliana......Ingekuwa mambo yawepo kama unavyotaka yawe basi JF kusingekuwa na member au kungekuwa na member wachache.......PENYE WENGI PANA MENGI.....
Simply put..kudos mkuu, kula like
 
Kumetokea wimbi la vijana watafuta sifa na kiki hapa JF ambao wanatumia majukwaa kuandika vitu vya kijinga kwa manufaa ya kutafuta umaarufu na hao vijana ni
1.muosha rungu
2.Alonso14
Hawa vijana wanatafuta umaarufu na sifa za kijinga kama ....yule jamaa wa kule Dar naomba tuwapuuze hawa watu maana List zao nimelenga kuleta matabaka JF na chuki zisizo na msingi ..
Yangu ni hayo tu
Sikutaka kuchangia uzi huu maana una sura ya kuwepo kwa mgongano binafsi wa mtoa mada na wahusika. Ili tukusaidie uishi vizuri humu jamvini funguka zaidi utujuze, hawa jamaa wanatafuta kusifiwa na nani? Na je wakisifiwa inakuathiri vipi wewe au watu wengine? Sifa za kijinga ni zipi? Je unamaana hata wanaowapa likes ni wajinga? Malizeni tofauti zenu nje ya forum itaonyesha busara zaidi.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom