Tuwapuuze watafuta sifa JF

Mmmh..
Mbona kama unajitia stress..kwani umaarufu siku hizi ni communicable disease!?

Besides,mtu anatafta umaarufu kwa fake ID ili iweje!!?
Mf.Muosha Rungu unamuonea bure mana hata angekuwa msanii wa mziki wa singeli ama Ngoma za Baikoko kwa hili jina umaarufu bado unamuonea!!

Vinginevyo twambie kama kuna ishu mnacompete personally...Huko PM au nje na Jamii Forums Tuokoe jahazi!!!



Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ni kwer kabsa

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Umeongea ukweli mtupu
 
English yako hainisaiidiii mm kitu chochote andika kwa kutumia lugha ya taifa nikuelewe
Hivi ilikuwa huelewi kuwa English pia ni lugha rasmi ya Tanzania?

Hivi hizo shule mlienda kusomea ujinga?
 
Hivi ilikuwa huelewi kuwa English pia ni lugha rasmi ya Tanzania?

Hivi hizo shule mlienda kusomea ujinga?
Usipende kutumia code switching ili kila mtu akujua ww una compentence na lugha zote wengne hatukusoma
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…