Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sisagi.naona toka nimekukataa kule PM basi unanitafutia sababu nmeshasema sitaki vibibi
Asante mamii!Great minds discuss ideas, average minds discuss events, small minds discuss people.
Ni kwer kabsaMmmh..
Mbona kama unajitia stress..kwani umaarufu siku hizi ni communicable disease!?
Besides,mtu anatafta umaarufu kwa fake ID ili iweje!!?
Mf.Muosha Rungu unamuonea bure mana hata angekuwa msanii wa mziki wa singeli ama Ngoma za Baikoko kwa hili jina umaarufu bado unamuonea!!
Vinginevyo twambie kama kuna ishu mnacompete personally...Huko PM au nje na Jamii Forums Tuokoe jahazi!!!
Sent using Jamii Forums mobile app
Umeongea ukweli mtupuMmmh..

Dada wacha hizo, lakini sikushangai, you are simply a small mind.Toka mmeo amekufa mbona unatumia mbinu nyingi kuforce kupata penzi?
Hivi ilikuwa huelewi kuwa English pia ni lugha rasmi ya Tanzania?English yako hainisaiidiii mm kitu chochote andika kwa kutumia lugha ya taifa nikuelewe
Njia ya wote hiyo hata kama ni kweliToka mmeo amekufa mbona unatumia mbinu nyingi kuforce kupata penzi?
Mkuu hayakuhusuNjia ya wote hiyo hata kama ni kweli
Ila sina hakika kama una hakika
Sent using Jamii Forums mobile app
Umemaliza.Great minds discuss ideas, average minds discuss events, small minds discuss people.
Hahhhahah[emoji1][emoji1] kasema kwer ss....macho mekundu si ndo genes zetu waafrika au!?Unamsifia uyo anafaa akatwe panga anamacho mekundu