Afisa Mteule Drj 2
JF-Expert Member
- Mar 21, 2017
- 3,865
- 4,506
Umepiga puri leo?Uliza lakn kisiwe cha kipumbavu
Mambo!Manini?
Shwari!Poa niaje
Unalotumia wewe! Halafu sitaki uniqoute nimegundua nakupa kiki!Unaongea kwa kutumia tundu gani?
Kisirani cha nini tena!Safi ropoka
Hajui kitu huyu mnampa kichwa tuUsipende kutumia code switching ili kila mtu akujua ww una compentence na lugha zote wengne hatukusoma