Uzimie bila sababu???[emoji39]Lol kidogo nizimie [emoji7] [emoji8] na mm nmelipiza
Hajui kitu huyu mnampa kichwa tu
Mfano mdogo kwenye hiyo sentensi ameandika
"Hivi ilikuwa huelewi........"
Hichi ni kiswahili sanifu kweli??
Hapo ilibidi aseme
"Hivi ulikuwa huelewi........."
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] nafwaaaa ,Yaani hapa umezidi kudhihirisha kwamba hujui kitu .= hiki
Hivi hizo shule mlienda kusomea ujinga?