Tuwapuuze watafuta sifa JF

Tuwapuuze watafuta sifa JF

3caa44457b93cedc88517e63b21400e5.jpg
 
Hajui kitu huyu mnampa kichwa tu

Mfano mdogo kwenye hiyo sentensi ameandika

"Hivi ilikuwa huelewi........"

Hichi ni kiswahili sanifu kweli??

Hapo ilibidi aseme

"Hivi ulikuwa huelewi........."

= hiki

Hivi hizo shule mlienda kusomea ujinga?
 
= hiki

Hivi hizo shule mlienda kusomea ujinga?
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] nafwaaaa ,Yaani hapa umezidi kudhihirisha kwamba hujui kitu .

Hichi,hicho,hiki,hiko haya maneno yanatumika sawa kulingana na upendeleo tu wa mtu anayezungumza.

Anayesema hiki ,ni sawa na yule anayesema hichi ,anayesema hiko ni sawa na mtu anayesema hicho.


Halafu kwanza rudi shule ukajifunze upya matumizi ya alama ya sawasawa.
 
Back
Top Bottom