Tuwarudishie mpira wenu, mpira upi?

Tuwarudishie mpira wenu, mpira upi?

JM inc

Senior Member
Joined
Apr 27, 2013
Posts
112
Reaction score
54
Hawa sio wajumbe wa mkutano mkuu wa TFF, wala si waandishi wa habari, lakin wapo Dodoma kwenye uchaguzi na suti zao.
Hapa naona harufu za kurudi kule kule, maana hawa wanaoojiita watu wa mpira hawez kuwaacha....kuwa na team kuwa na upande si dhambi lakin kwa mwenendo huu sion kama huyu ni mtu sahihi kwa soka letu..

Ukiona tayr kwa timu hii tujue kbsa kamati zozote watahusika hawa wanaomsaidia ili awe pale, tusidanganyane, atakula aliopanda nao, sitegemei akimchukua Uledi wa buseresere kule kigoma au Mapunda wa litumbandyosi Ruvuma, ni hawa hawa alio nao TUSIDANGANYANE.

USHAURI WANGU

Wajumbe wa mkutano mkuu wa TFF tuleteen mtu mwenye MPANGO MKAKATI UNAOTEKELEZEKA.
 
Naona wabunge na mawazir na media zinampendelea mtu mmoja
Sasa huu uchaguzi au uchafuz

mchana toch ,usiku magogo tufanyaje?



keshapigwa chini....mpira haupo dodoma so hatuwez kuwarudishia
 
Back
Top Bottom