Mtetezi.com
JF-Expert Member
- Oct 6, 2016
- 3,134
- 3,584
Nimekuwa nikiwaona vijana waliohitimu 2010's wakisumbuka na changamoto mbalimbali za ajira but ambao wako very frustrated kuliko kipindi chochote toka nchi hii ipate uhuru ni hawa waliohitimu kuanzia mwaka 2015.
Kwani fursa za ajira sio tu finyu bali hakuna ajira kabisa na NGO's zinapunguza watumishi.
Fursa za kibiashara zimekuwa ngumu sana kwani no purchasing power unaweza ukawa na mtaji, wazo zuri la biashara na sehemu nzuri but bado biashara isitoke.
Kama wewe ni graduate au una kaka au graduate hebu toa mchanganuo wowote ni kwa namna gani graduate anaweza kujikwamua hapo alipo aidha apate kazi au ajiajiri.
Naombeni tuchangie kwa wingi najua Jf ni home of Intellectuals pia.
Tusiwakatishe tamaa wadogo zetu tuwape moyo na faraja wasikate tamaa mana ukiwaona wanatia hadi huruma.
Sent using Jamii Forums mobile app