Tunaiona dunia Kwa namna tofautiHakuna cha prove you right hapo!! Hiyo pesa ya masters angeiwekeza kwenye makande akuze mtaji au afanye biashara yenye tija badala ya kupoteza muda na rasimali chuoni miaka na miaka kisha kurudi kupika michuzi.
Makande hayahitaji masters!
Hapana mkuu! Mtu mpaka kuhitimu masters kisha kurudi kupika michuzi na makande ni upotevu wa muda na rasilimali!!Mkuu shukuru Mungu umeajiriwa ..ila una mawazo mfu
Ila kweli elim yake haina values hapo ,Hakuna cha prove you right hapo!! Hiyo pesa ya masters angeiwekeza kwenye makande akuze mtaji au afanye biashara yenye tija badala ya kupoteza muda na rasimali chuoni miaka na miaka kisha kurudi kupika michuzi.
Makande hayahitaji masters!