Tuwasaidie kukuza kipaji na uwezo hawa watu

Mama Confidence

Senior Member
Joined
Sep 5, 2016
Posts
172
Reaction score
144
Habari ya jioni watu wangu wa nguvu JF
Kuna msaada nina uhitaji kwenu kwa wanaofahamu nini kifanyike ili kuwasaidia hawa watu wameniuliza maswali

1. Mmoja anasema ana kipaji cha kuimba ila hawezi kutunga wimbo + melody yake

2. Anauliza ni jinsi gani anaweza kuendesha event ana uwezo wa kucreate event....event mbali mbali ssa hajui aanze na kipi na afanye fanye vipi kufanikisha.
 
Nadhani kwenye suala la EVENT binafsi ningeweza kukushauri ila maelezo yako hayajajitosheleza. Ana mtaji wa kufanya event na kubuni ila hajui aanze na nini? Ana ubunifu wa kubuni events zinazoweza "kubamba" ila hana mtaji?
 
Back
Top Bottom