Huge budget ila wimbo sasa ptuuuu!
Japo ni shabiki wa dai na ninamkubali ila kwa huu wimbo hapana niwe mkweli tu.
kunywa maji mwananguHuge budget ila wimbo sasa ptuuuu!
Japo ni shabiki wa dai na ninamkubali ila kwa huu wimbo hapana niwe mkweli tu.
Ukizeeka lazima uwe mchawi wewe!Kachemshaaaaa jimbo bayaa eti kisa kanshirikisha neyo...pooor sooong .,nice video
Kamuoa Dada yake Diamond kwa kifupi ni Shemeji mtu.Petit Man ni WCB? Since when
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Huu wimbo nimeurudia kutazama mara 14 na mpaka sasa bado naendelea kutazama...
Sijui nitauchoka saangaMary you olala lalaa... Twende kwa mama na papaa yoo oh... Agh...mpaka nimechanganya
una uhakika?? au unamuhisi tuHata Diamond ni suala la muda tu anafuatiliwa
Sikuwahi kuuponda huo wimbo labda kama unalo jingineHata wimbo wa Waya johmakini mliuponda humu ndo unatrend yuotube saivi ..
Mwana hiphop akirap mnasema habadiliki akibadilika aimbe mnasema arudie kama zamani..
Kumwelewa binadamu tabu, hongera Diamond
Msiwe vipofu kwa ushabiki tuuu semen ukweli ,video ya wimbo ni Kali sana ;ila jimbo lenyewe bayaaa kinoma ,nonsense......
.......,.....
Msiwe vipofu kwa ushabiki tuuu semen ukweli ,video ya wimbo ni Kali sana ;ila jimbo lenyewe bayaaa kinoma ,nonsense......
.......,.....
Hii ngoma kali sanaHabari wanaJukwaa,
Huku baadhi ya wanaoitwa Maselebriti wakitakiwa kwenda kuonana na Mkuu wa Mkoa leo kwa tuhuma za kuuza na kutumia Ngada, basi ni vyema tukawasindikiza kwa Kichupa kikali kutoka kwa Diamond Platinumz a.K.a Simba.