tang'ana
JF-Expert Member
- Apr 3, 2015
- 11,931
- 15,849
Habari wakuu,
Mwaka 2020-2025 ni sawa na hatukua na bunge hapa Tanzania.
Lakini kwenye msafara wa mamba na kenge wapo,hivyo hivyo pamoja na bunge kuwa la hovyo lakini kuna Wabunge kadhaa wamejaribu kutekeleza majukumu yao huko Majimboni.
Mimi wabunge wangu ninaoona walau wamepambana ni hawa hapa.
1. Jumanne kishimba - Kahama
2. Mbunge wa Iringa mjini simjui jina.
3. Mbunge wa Njombe Mjini
4. Mbunge wa Makambako
5. Ridhiwani Kikwete - Chalinze.