Tuwataje Wachezaji Wa EPL Wanaopiga Kazi Kimya Kimya!

Tuwataje Wachezaji Wa EPL Wanaopiga Kazi Kimya Kimya!

Greatest Of All Time

JF-Expert Member
Joined
Jan 1, 2017
Posts
23,620
Reaction score
52,790
Zikiwa zimebaki mechi tatu kwa kila timu ya ligi Kuu ya Uingereza, Ligi hiyo inaenda ukingoni kuhitimisha msimu wa 2018/19.

Ni msimu wa aina yake, kwani mpaka kufikia sasa bado bingwa hajajulikana kati ya Liverpool au Man City ni timu ipi itatwaa taji hilo. Kuna wachezaji wametamba msimu huu kama VVD, Sterling, Bernado Silva, Son, Mane na wengineo.

Leo nimeona tuangazie, Wachezaji wa baadhi ya timu zinazoshiriki ligi hiyo ambao hawatajwi sana na Media ila wanapiga kazi kubwa tena kimya kimya.

Mimi naanza na hawa,
Robertson - Liverpool.
Aaron Wan Bissaka - Crystal Palace.
James Madisson - Leicester City

Unaweza ukaendelea na orodha...
 
Lukaku~ man u
racazet ~ arsenal (nafasi 10 tunatumia moja au tukose kabisa)
 
Back
Top Bottom