Mto Songwe
JF-Expert Member
- Jul 17, 2023
- 6,683
- 14,060
Nyerere aliwauza🤡
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
14. MimiSawa, nimekusoma. Na wewe umo!
Hakika!Wote wanaotetea rasilimali za Nchi hii ni wazalendo.
Safi!14. Mimi
Umesahau balozi Karume mdogo wake Amani Karume.1. Amani Abeid Karume
2. Othman Masoud Othman
3. Fatma Karume
4. Salum Mwalimu
Hao wote ni Wazanzibar, lakini wanaonekana wana"roho" nzuri. Ingelikuwa ni mamlaka yao, wangeshaturejeshea Tanganyika yetu siku nyingi.
Kweli kabisa!Umesahau balozi Karume mdogo wake Amani Karume.
Sahihi.Generali Mwabukusi
JPM angekuwa rais mpaka leo huu upuuzi wa utanganyika ungezaliwa upya?.Ingawa Tanganyika bado haijarejerejeshewa hadhi yake stahiki, lakini hatua iliyofikiwa inatia moyo. Muda si mrefu, bendera ya Tanganyika itaanza kupepea. Tanganyika haitakufa tena.
Lakini mpaka kufikia hatua hii, kuna Watanganyika waliosimama kidete kukataa Tanganyika kuzikwa. Ingawa baadhi yao hatupo nao tena katika ulimwengu huu, lakini michango yao imeendelea kusimama imara ikiipigania Tanganyika.
Huu uzi ni mahsusi kwa ajili ya kutambua Wazalendo halisi wa Tanganyika walio hai na hata waliokwishatoka katika ulimwengu huu.
Nitawataja wachache kwa sasa, na nitaendelea kuwataja na hata kuwaelezea , ikiwezekana.
Kwa kuanza, hawa ni baadhi yao:
1. Njelu Kasaka
2. Philip Marmo
3. Freeman Mbowe
4. Mch. Christopher Mtikila
5. Mshana Jr
6. Joseph Sinde Warioba.
7. Jaji Kisanga
8. Ahmed A. Mpakani
9. Jenerali Ulimwengu
10. Tundu A. Lissu
11. Askofu Zakaria Kakobe
12. Said Abdallah Nakuwa
Mambo sio mepesi kama unavyodhani. Haupo msingi imara wa kuidai Tanganyika, haipo sababu yenye mashiko yenye kueleweka ya kuidai nchi ya Tanganyika.Kamwe hatutaigawa vipande vipande nchi yetu ya Tanganyika. Tukiona itatufaa, tunaweza tukaamua kuanzisha mfumo wa utawala wa kimajimbo, lakini siyo kuigawa nchi yetu nzuri Tanganyika. Tanganyika ni nchi moja na itasalia nchi moja siku zote.
Long live Tanganyika, the blessed Country!
Kujiita watanganyika wanaona ni sawa na utakatifu fulani, wanadhani ni kauli yenye amani ndani yake. Ni pale watakapokuwa wamevunja muungano ndio mambo yatakapoanza kuharibika taratibu.Mkishalianzisha hilo baadae mtagawanyika,Kilimanjaro itadai ilikuwa na se
rekali mpaka mwaka 1956,ilipoporwa,na wengine na wengine watafuata upuuzi huu..
Dhana ya utanganyika ni dhambi kubwa kabisa!
Ni baraka kubwa sana kuwa na wazee wa aina hii!
Wewe unanufaishwa na uamuzi alioufanya?Nyerere aliwauza🤡