Tuwatambue wazalendo wa Tanganyika

Huyo mpare- keyboard warrior- naye ni mzalendo?
Halafu huyo mnyarwanda na huyo mrundi tangu lini wakawa wazalendo?
 
Mkishalianzisha hilo baadae mtagawanyika,Kilimanjaro itadai ilikuwa na se
rekali mpaka mwaka 1956,ilipoporwa,na wengine na wengine watafuata upuuzi huu..
Dhana ya utanganyika ni dhambi kubwa kabisa!
Hiyo ndio kete iliyotumika miaka mingi kuwapumbaza mkajikana wenyewe. Tukaamini kuwa sisi ni dume jike na sio mke au mme, warioba alisema ili hii ndoa idumu lazima dume jike aikubari jinsia yake mkaanza hivyo visababu,mara hoo tukizaa watoto matiti hayataota mara watakuwa vipara vyote hivyo vibweka tu, Wala hakuna sababu za maana,kwani Tanganyika ndio inazaliwa Leo?
 
Huyo mpare- keyboard warrior- naye ni mzalendo?
Halafu huyo mnyarwanda na huyo mrundi tangu lini wakawa wazalendo?
Mkuu, una bifu na Mshana Jr? Mbona misimamo yake iko wazi kwenye masuala yenye maslahi kwa Tanganyika?

Nafikiri, utakuwa unamwonea ukimwita keyboard warrior. Mtu anayetumia verified id hawezi kuwa kwenye hilo kundi.

Kuhusu Mnyarwanda na Mrundi, mimi siwafahamu. Orodha ya majina niliyoitoa ni ya Watanganyika Wazalendo. Kama kuna wenye unasaba na Rwanda au Burundi, sikuwa nafahamu. Mimi nijuacho hao wote ni Watanganyika Wazalendo.
 
Na kagera nao watafuatia kujiondoa....!
Watu wa Kagera wana akili. Tokea zamani walikuwa wakijua kuwa wao ni Watanganyika.

Watanganyika ni Wazalendo kwa Tanganyika yao, kamwe hawatajitenga na Tanganyika yao.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…