Tuwaze na Kuchambua haya Kuhusu Rubby

Utoto unamsumbu.
Hakupaswa kukuruka mapema wote tunafanya kazi mshahara hautoshi ila hatukurupuki mpaka tuhakikishe tumepata mbadala.
Je , Ruby ana mbadala wa kufanya ? Anabebeka na izo single zake 2?
Mabinti wa umri wake wengi wakishakuwa na milioni kumi bank ni shida kweli kweli huku kukiwa na mfadhili nyuma yake anaweza hata kukupanda kichwani
 
Nitaamini maneno haya endapo show zote za fiesta zitafika mwisho bila rubby kuonekana.....nakumbuka kuna mtu humu alianzisha mada kua Millard ayo kaacha kazi clouds kwa vimifano vya ajabu...lakini baadaye tukamwona Millard yupo clouds mpk Leo.... Msiwwe wasemaji wa clouds media na wasemaji wa rubby ...
[HASHTAG]#nawaza[/HASHTAG] kwa sauti#
 
Millioni 22 kwa show 15
Inamaa kila show moja milioni 1 na laki 4. Huo n unyonyaji kwa wasanii wa Tz. Hapo bado iyo ela msanii aka rekodi audio na video hatabakiwa na tshs ngapi Na sidhani km hao clouds wanatoa icho kiasi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…