kambitza
JF-Expert Member
- Jul 24, 2013
- 2,045
- 1,320
Kwani anafanya Fiesta mwaka mzima?Millioni 22 kwa show 15
Inamaa kila show moja milioni 1 na laki 4. Huo n unyonyaji kwa wasanii wa Tz. Hapo bado iyo ela msanii aka rekodi audio na video hatabakiwa na tshs ngapi Na sidhani km hao clouds wanatoa icho kiasi