Tuwaze na Kuchambua haya Kuhusu Rubby

Millioni 22 kwa show 15
Inamaa kila show moja milioni 1 na laki 4. Huo n unyonyaji kwa wasanii wa Tz. Hapo bado iyo ela msanii aka rekodi audio na video hatabakiwa na tshs ngapi Na sidhani km hao clouds wanatoa icho kiasi
Kwani anafanya Fiesta mwaka mzima?
 
Kwa msanii wa calibre ya Ruby hata kulipwa mil 3 kwa fiesta nzima ni pesa nyingi sana anafaa aimbe hata bure coz anajimarket kwa uzuri sana akiimba kwenye fiesta, kimtu chenyewe kina vinyimbo vitatu tu,kinapewa nafasi ya kuperform kwenye jukwaa kubwa kuliko yote hapa Tanzania halafu eti kinaleta nyodo!!! Mwache aende atarudi analia....![emoji57] [emoji57] [emoji57] [emoji57]
 
Sio lazima apitie njia zilizotumiwa na akina mondi na juma jux..wakati mwingine tunapaswa kutambua uwezo wa kujitambua kwa kila msanii. KIKUBWA RUBBY KAWAPA FUNZO managers AMBAO SIKU KWAO NI KUANDAA MIKATABA YA KUJINUFAISHA WAO.


BIG UP rubby! U can stand alone don gv up
 
Kama tunaweza kumjadili humu.... Basi tuyaheshimu maamuzi yake...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…