Tuwazuie watanzania wanaokwenda kusoma nchi za Magharibi

Malaria 2

JF-Expert Member
Joined
Oct 17, 2023
Posts
9,722
Reaction score
15,117
Tuwazuie watanzania wanaokwenda kusoma nchi za Magharibi.
Sababu kubwa kutapelekea nchi zetu za Africa ktk matatizo makubwa za kiuharakati na kuleta matatizo makubwa.
Zipo nch kama Japqn, Korea Kusini , Malaysia, indonesia zipo mbele sana kielimu, tuwapeleke huko
 
Zipo nch kama Japqn, Korea Kusini zipo mbele sana kielimu
Hawa jamaa huwa wanarudi na nini cha ziada tofauti na graduates wetu hapa nchini?
 
Hilo bichwa lako lina akili kweli?
20260412_051540.jpg
 
Tuwazuie watanzania wanaokwenda kusoma nchi za Magharibi.
Sababu kubwa kutapelekea nchi zetu za Africa ktk matatizo makubwa za kiuharakati na kuleta matatizo makubwa.
Zipo nch kama Japqn, Korea Kusini , Malaysia, indonesia zipo mbele sana kielimu
hii ni sawa na kufunga madirisha na milango na kuzima taa na kusema bado ni usiku
 
Kwenda kupata PHD singapore,india,china na kurudi bongo au kua dereva,mpishi,mwalimu wa kiswahili ulaya na usa utachagua nini?
 
Tuwazuie watanzania wanaokwenda kusoma nchi za Magharibi.
Sababu kubwa kutapelekea nchi zetu za Africa ktk matatizo makubwa za kiuharakati na kuleta matatizo makubwa.
Zipo nch kama Japqn, Korea Kusini , Malaysia, indonesia zipo mbele sana kielimu, tuwapeleke huko

Bila hizo nchi za Magharibi kusingekuwa na mataifa mengi ya Afrika ikiwemo Nchi yako Tanzania..
Kungekuwa na Taifa la sukuma nation, Pare nation, Nyamwezi, Chagga , haya n.k.

So unaongea mambo yaliyokuzidi Sana
 
Back
Top Bottom