Hawa jamaa huwa wanarudi na nini cha ziada tofauti na graduates wetu hapa nchini?Tuwazuie watanzania wanaokwenda kusoma nchi za Magharibi.
Sababu kubwa kutapelekea nchi zetu za Africa ktk matatizo makubwa za kiuharakati na kuleta matatizo makubwa.
Zipo nch kama Japqn, Korea Kusini zipo mbele sana kielimu
Matusi, uharakati, pro magharibiHawa jamaa huwa wanarudi na nini cha ziada tofauti na graduates wetu hapa nchini?
hii ni sawa na kufunga madirisha na milango na kuzima taa na kusema bado ni usikuTuwazuie watanzania wanaokwenda kusoma nchi za Magharibi.
Sababu kubwa kutapelekea nchi zetu za Africa ktk matatizo makubwa za kiuharakati na kuleta matatizo makubwa.
Zipo nch kama Japqn, Korea Kusini , Malaysia, indonesia zipo mbele sana kielimu
Katuona matako yake kweliWakasome Nasarawa au sio ?😁
Wanataka kila mtu awe na elimu za hapa na pale 😅hii ni sawa na kufunga madirisha na milango na kuzima taa na kusema bado ni usiku
Haina uhusianoTuwazuie pia wasiende Mecca kusoma dini, Wakasomee Uturuki.
VetaIfike wakati sasa serikali ijikite kwenye kuwafundisha vijana ujuzi wa kazi za mikono aiseee
Tatizo mnasoma sana siku tukiteleza 8000dola pa lita mna mgundua😅Unawazuia wewe kama nani?
Tuwazuie watanzania wanaokwenda kusoma nchi za Magharibi.
Sababu kubwa kutapelekea nchi zetu za Africa ktk matatizo makubwa za kiuharakati na kuleta matatizo makubwa.
Zipo nch kama Japqn, Korea Kusini , Malaysia, indonesia zipo mbele sana kielimu, tuwapeleke huko
Madhara ya mafunzo mbalimbali yasiyoeleweka wanataka kila mtu awe kilaza kama wao.Tatizo mnasoma sana siku tukiteleza 8000dola pa lita mna mgundua😅
Matatizo gani? Embu fafanua vizuri ueleweke.Sababu kubwa kutapelekea nchi zetu za Africa ktk matatizo makubwa za kiuharakati na kuleta matatizo makubwa.