Tuwazuie watanzania wanaokwenda kusoma nchi za Magharibi

Hao wote uliotaja wanapeleka vijana wao kusoma kwenye vyuo vikuu bora zaidi duniani kama: MiT, Stanford, Oxford, Harvard, Cambridge, nk..
Watz wakirudi hapa kutoka Havard huwa kama wamemaliza st Josephia . Namuona mwanasheria wa chadema, mpaka Leo lissu yupo ndani. Mahakamani yeye anaimba tu, Rais Rais Rais, huku siku zikenda
 
Watz wakirudi hapa kutoka Havard huwa kama wamemaliza st Josephia . Namuona mwanasheria wa chadema, mpaka Leo lissu yupo ndani. Mahakamani yeye anaimba tu, Rais Rais Rais, huku siku zikenda
Tanzania hakuna mahakama, lile ni genge la saccos ya Mbogamboga.

Ingekuwa mahakama ya kweli TAL asingekuwa ndani hadi leo kwa kesi ya uongo wa wazi
 
Tanzania hakuna mahakama, lile ni genge la saccos ya Mbogamboga.

Ingekuwa mahakama ya kweli TAL asingekuwa ndani hadi leo kwa hiyo kesi ya uongo wa wazi
Unakusudia kama UNO? Kama UNO ingalikua huru haingilii na USA , Isreal asingeweza kufanya anavyofanya duniani?
 
Utawazuia wewe na bibi yako
 
Unakusudia kama UNO? Kama UNO ingalikua huru haingilii na USA , Isreal asingeweza kufanya anavyofanya duniani?
Wacha kurukaruka kama maharagwe jikoni!

Hao UNO walikuwa wapi wakati chura anatekeleza mauaji ya maelfu ya Tanzania?
 

In the 2024/25 academic year, over 1 million international students studied in the U.S., with India and China being the top countries of origin. Key sending nations include India (363,019+), China (265,919+), South Korea, Canada, and Vietnam, largely driven by demand for STEM fields.
migrationpolicy.org +3

Top Countries of Origin (2024/2025 Data)
  • India: 363,019 students
  • China: 265,919 students
  • South Korea: 42,293 students
  • Canada: 29,903 students
  • Vietnam: ~19,000+ (significant presence)
  • Taiwan: ~23,000+
  • Nigeria: ~14,000+
 
Saudi Arabia is the leading Arab nation for students in the U.S., with over 15,000 students in the 2022-2023 academic year. Other top contributing nations include Lebanon, Oman, and the UAE, though enrollment from these countries has recently seen declines. Saudi students are often supported by the King Abdullah Scholarship Program.
InGenius Prep +4
Top Arab Countries Sending Students to the US
  • Saudi Arabia: Holds the highest number of students, with 15,989 enrolled in 2022-2023.
  • Lebanon: 2,613 students (as of 2022).
  • Oman: 2,489 students (as of 2022).
  • United Arab Emirates: 2,145 students (as of 2022).
  • Egypt & Jordan: Represent significant, though fluctuating, numbers of students in the U.S..
    migrationpolicy.org +4
Key Findings
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…