Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Utakuta watu wapo kwenye mahusiano ya mapenzi kwa mda mrefu tu, then for no reason mmoja wapo anakuja na hoja kwamba tuwe marafiki wa kawaida tu haya mapenzi tuyaweke kando, hivi hii inamaanisha nini jamani
Wanajamii naomba tujadili hili

Ujue hapo mtu keshapata mtu mpya, ambae huenda anataka kumbinafsisha rasmi. hivyo anahofia nafasi hiyo ya pekee mwaya!Lakini kama hakuna maelezo yoyote kwa hatua hiyo, basi ujue kuna visa au mgogoro unaofukuta!Ndio raha na karaha za mapenzi, na dunia inazunguka kutokana na malimwengu kama hayo!

kama ndo umeambiwa hivyo, kipi cha kufanya sasa kuondoa hisia za mapenzi kabisa kwa yule mtu au kumsubiri mpaka atakapoamua kurudisha mapenzi tena