Tuwe marafiki

Tuwe marafiki

katelero

JF-Expert Member
Joined
May 31, 2010
Posts
529
Reaction score
84
Utakuta watu wapo kwenye mahusiano ya mapenzi kwa mda mrefu tu, then for no reason mmoja wapo anakuja na hoja kwamba tuwe marafiki wa kawaida tu haya mapenzi tuyaweke kando, hivi hii inamaanisha nini jamani

Wanajamii naomba tujadili hili
 
Ni sawa tu ni muhimu kuheshimu mawazo ya mtu.hasa akishaamua kumbadilisha ni ngumu
 
Kwa mtazamo wangu ni ngumu, labda tuendelee kuwa na uhusiano kama zamani, at the same time tuwe marafiki maana kuna wapenzi waso marafiki na kuna marafiki waso wapenzi, mwajua hilo!
Utakuta watu wapo kwenye mahusiano ya mapenzi kwa mda mrefu tu, then for no reason mmoja wapo anakuja na hoja kwamba tuwe marafiki wa kawaida tu haya mapenzi tuyaweke kando, hivi hii inamaanisha nini jamani

Wanajamii naomba tujadili hili
 
It means..............kwa kifupi its over!!!!!!....................
 
heri kuweka mapenzi kwa Mungu zaidi, maana hawezi kukuletea ujumbe wenye kukukatisha tamaa,
haya mengine ni kuyachukulia tu kimwili, ili pindi unapoletewa ujumbe wa namna hiyo usikuumize,
itakuwia vigumu kwa sababu ya unafiki wetu wa kujifanya, eti mpenzi wako umemuweka sana moyoni,
badala ya moyoni kukaa mafundisho mema ya Mungu, na mpenzi ama rafiki yako weka akilini,
maana ni rahisi kufuta mawazoni hata ikitokea mkatengana
 
Staili mpya ya kuachana ili msikwazane.Siku hizi kuna vioja kama nini..Imeshanitokea hii,mi niligoma hu upuuzi kwangu..
 
Utakuta watu wapo kwenye mahusiano ya mapenzi kwa mda mrefu tu, then for no reason mmoja wapo anakuja na hoja kwamba tuwe marafiki wa kawaida tu haya mapenzi tuyaweke kando, hivi hii inamaanisha nini jamani

Wanajamii naomba tujadili hili

No more kudumisha mila
 
Ujue hapo mtu keshapata mtu mpya, ambae huenda anataka kumbinafsisha rasmi. hivyo anahofia nafasi hiyo ya pekee mwaya!Lakini kama hakuna maelezo yoyote kwa hatua hiyo, basi ujue kuna visa au mgogoro unaofukuta!Ndio raha na karaha za mapenzi, na dunia inazunguka kutokana na malimwengu kama hayo!
 
Good to see you broda...............Welcome back!!!!!!!!!
 
mimi kusema ule ukweli mademu wangu wa zamani wote kwa sasa ni rafiki zangu tu hakuna mapenzi tena tunawasiliana ikibidi lakini no ku-do unless ikatokea situation isiyoepukika
 
Ujue hapo mtu keshapata mtu mpya, ambae huenda anataka kumbinafsisha rasmi. hivyo anahofia nafasi hiyo ya pekee mwaya!Lakini kama hakuna maelezo yoyote kwa hatua hiyo, basi ujue kuna visa au mgogoro unaofukuta!Ndio raha na karaha za mapenzi, na dunia inazunguka kutokana na malimwengu kama hayo!

kama ndo umeambiwa hivyo, kipi cha kufanya sasa kuondoa hisia za mapenzi kabisa kwa yule mtu au kumsubiri mpaka atakapoamua kurudisha mapenzi tena
 
Back
Top Bottom