Ili kujua kuwa haina tija kwa viongozi kukutana uwanjani siku nzima ili kupokea ndege moja ni lazima uwe na akili.Lakini sijaona tija kwa wananchi kukutana kwa siku nzima uwanjani kupokea ndege moja
Kweli kabisa mjanja ni yule aliyeuza ndege na kufanya biashara mnunuzi ni lofa tu.ukiwa masikini na akili inadumaa kuna jamaa mmoja aliniomba mchango mwaka jana kwa ajili ya binti yake kumaliza fomu four ndo walivyo CCM ya mwasamya kila kitu kwao ni kigeni na uchawa ili mkono uende kinywani.lakini hoja ni mtu kama kabudi,mkumbo, mollel kuwa chawa hapa huwa nachoka saaana.Ili kujua kuwa haina tija kwa viongozi kukutana uwanjani siku nzima ili kupokea ndege moja ni lazima uwe na akili.