Tuache kutafuta visababu, mpira kama unajua unajua tu mpira ni ule ule.....Hayo ya mazingira ni sababu za waliofeli....
Tunaona watu wanatoka ligi tofauti na wakija wanakipiga kama kawa, Sadio Mane katoka Epl kaenda Bundasliga anakiwasha kama kawa, Mcheki Haland anavyokipiga Man City...haya tutasema kule ni ulaya, turudi bongo, hawa kina kipre junior wametokea wapi, au wao hawajui cha mazingira, kina tupadinyo..Cheki wa Brazil wa Singida Big star au wao wamezaliwa bongo..Moses Phiri katoka kwao anafunga, kaja hapa anaendeleza yaleyale...
Tuacheni kutafuta sababu zisizo na tija.
Sent from my Nokia C1 using
JamiiForums mobile app