PSEUDOPODIA
JF-Expert Member
- Aug 9, 2020
- 392
- 798
- Thread starter
-
- #21
Bora Nkane kuliko KNi promo kubwa tu waliyompa,lakin uhalisia hana kiwango hicho.
Hawa vyura mchezaji kama konde boy cjui wangempa shilingi ngp?????
Uyo Aziz ki ana muda gani kwenye soka la Tanzania tuanzie apo kwanza kabla atujaendeleaTuambie wewe fundi, K anamchango gan kwenye timu ambao ungemzidi saidoo kama angekwepo
Sent from my Nokia C1 using JamiiForums mobile app
Usije tu ukawa wewe ndiye Saidoo mwenyewe, umeamua kuja kutafuta kiki humu jukwaani na wakati kwetu sisi; wewe ni zilipendwa.Kweli kwa Aziz k tumepigwa wanajangwani, Bora saidoo kuliko K.
Sent from my Nokia C1 using JamiiForums mobile app
Ameshacheza mechi 4 za kimashindano akiwa regular starter ila hana goli wala assist!Uyo Aziz ki ana muda gani kwenye soka la Tanzania tuanzie apo kwanza kabla atujaendelea
Hata kamaUsije tu ukawa wewe ndiye Saidoo mwenyewe, umeamua kuja kutafuta kiki humu jukwaani na wakati kwetu sisi; wewe ni zilipendwa.
Basi tulia punguza mihemko, kuna mchezaji anaweza kukopy mazingira haraka ya ugenini na kuna mchezaji anaweza kuchelewa kukopy mazingira ya ugenini kwa haraka labda nikukumbushe jambo kwa mfano mmoja, unakumbuka kipindi obrey chirwa anasajiliwa na yanga kutoka platnum ya zimbabwe?? Unakumbuka alianzaje ligi? Chirwa alianza ligi vibaya sana mpaka ikawa kelele kwa mashabiki kuwa hafai lakini kule alikotoka alikuwa anauwasha moto, badae sana alianza kuingia kwenye mfumo na akawa key prayer wa kutegemewa, nafikiri akuna asiyekumbuka kipindi icho yanga ya chirwa, ngoma, kamusoko, msuva ilikuwa ni hatari, kwaiyo suala ntibanzokiza kulinganisha na Azizi ki utakuwa aumtendei haki, uyu katoka Ivory coast yule alitoka burundi apo mazingira ya soka la Afrika mashariki ayana tofauti ata kidogo tunajuana vizuri sana, Aziz ki atakuja kuwaumbua wengi hapa wekeni akiba ya maneno na msimpe presha isiyokuwa na maanaAmeshacheza mechi 4 za kimashindano akiwa regular starter ila hana goli wala assist!
Ntibanzonkiza mechi ya kwanza tu kuichezea Yanga aliweka kambani kama una kumbukumbu nzuri.
Hata ubingwa tuliochukua msimu ulioisha umechagizwa sana na saidoo, zadhani unakubaliana na mimi! Swali, Je saidoo angecheza hizo mechi 4 alizocheza K angetoka kapa bila hata assist kweli?
Sent from my Nokia C1 using JamiiForums mobile app
Washabiki wengine unachoka sana kuwasikiliza, mazingira ya anakotoka na kwenda hata siku hayafanani na pia kuna kuzoea haraka au la kulingana na mtu mwenyewe, yaani kuna mambo mengi kwenye sokaBasi tulia punguza mihemko, kuna mchezaji anaweza kukopy mazingira haraka ya ugenini na kuna mchezaji anaweza kuchelewa kukopy mazingira ya ugenini kwa haraka labda nikukumbushe jambo kwa mfano mmoja, unakumbuka kipindi obrey chirwa anasajiliwa na yanga kutoka platnum ya zimbabwe?? Unakumbuka alianzaje ligi? Chirwa alianza ligi vibaya sana mpaka ikawa kelele kwa mashabiki kuwa hafai lakini kule alikotoka alikuwa anauwasha moto, badae sana alianza kuingia kwenye mfumo na akawa key prayer wa kutegemewa, nafikiri akuna asiyekumbuka kipindi icho yanga ya chirwa, ngoma, kamusoko, msuva ilikuwa ni hatari, kwaiyo suala ntibanzokiza kulinganisha na Azizi ki utakuwa aumtendei haki, uyu katoka Ivory coast yule alitoka burundi apo mazingira ya soka la Afrika mashariki ayana tofauti ata kidogo tunajuana vizuri sana, Aziz ki atakuja kuwaumbua wengi hapa wekeni akiba ya maneno na msimpe presha isiyokuwa na maana
Simba sasa hivi kuna nafasi ya coach peleka vyeti vyakoMechi ijayo naomba mwalimu aanze na bigirimana, K aanzie benchi!
Alafu nkane aanze moloko aanzie benchi, pia Morrison aanze, wale tunawapiga dazen
Sent from my Nokia C1 using JamiiForums mobile app
Basi tulia punguza mihemko, kuna mchezaji anaweza kukopy mazingira haraka ya ugenini na kuna mchezaji anaweza kuchelewa kukopy mazingira ya ugenini kwa haraka labda nikukumbushe jambo kwa mfano mmoja, unakumbuka kipindi obrey chirwa anasajiliwa na yanga kutoka platnum ya zimbabwe?? Unakumbuka alianzaje ligi? Chirwa alianza ligi vibaya sana mpaka ikawa kelele kwa mashabiki kuwa hafai lakini kule alikotoka alikuwa anauwasha moto, badae sana alianza kuingia kwenye mfumo na akawa key prayer wa kutegemewa, nafikiri akuna asiyekumbuka kipindi icho yanga ya chirwa, ngoma, kamusoko, msuva ilikuwa ni hatari, kwaiyo suala ntibanzokiza kulinganisha na Azizi ki utakuwa aumtendei haki, uyu katoka Ivory coast yule alitoka burundi apo mazingira ya soka la Afrika mashariki ayana tofauti ata kidogo tunajuana vizuri sana, Aziz ki atakuja kuwaumbua wengi hapa wekeni akiba ya maneno na msimpe presha isiyokuwa na maana
Hata sarpong hivyo hivyo.ila kii na bigirimana tumepigwa peupeeeBasi tulia punguza mihemko, kuna mchezaji anaweza kukopy mazingira haraka ya ugenini na kuna mchezaji anaweza kuchelewa kukopy mazingira ya ugenini kwa haraka labda nikukumbushe jambo kwa mfano mmoja, unakumbuka kipindi obrey chirwa anasajiliwa na yanga kutoka platnum ya zimbabwe?? Unakumbuka alianzaje ligi? Chirwa alianza ligi vibaya sana mpaka ikawa kelele kwa mashabiki kuwa hafai lakini kule alikotoka alikuwa anauwasha moto, badae sana alianza kuingia kwenye mfumo na akawa key prayer wa kutegemewa, nafikiri akuna asiyekumbuka kipindi icho yanga ya chirwa, ngoma, kamusoko, msuva ilikuwa ni hatari, kwaiyo suala ntibanzokiza kulinganisha na Azizi ki utakuwa aumtendei haki, uyu katoka Ivory coast yule alitoka burundi apo mazingira ya soka la Afrika mashariki ayana tofauti ata kidogo tunajuana vizuri sana, Aziz ki atakuja kuwaumbua wengi hapa wekeni akiba ya maneno na msimpe presha isiyokuwa na maana
Walikutana Aisha na Aziza Kisebengo....Kamuulize aisha manula anamjua huyo aziz ki,sio wewe parachichi.
Tuache kutafuta visababu, mpira kama unajua unajua tu mpira ni ule ule.....Hayo ya mazingira ni sababu za waliofeli....Washabiki wengine unachoka sana kuwasikiliza, mazingira ya anakotoka na kwenda hata siku hayafanani na pia kuna kuzoea haraka au la kulingana na mtu mwenyewe, yaani kuna mambo mengi kwenye soka
Umepigwa wapi?Hata sarpong hivyo hivyo.ila kii na bigirimana tumepigwa peupeee
Sawa kwahio unatakajeTuache kutafuta visababu, mpira kama unajua unajua tu mpira ni ule ule.....Hayo ya mazingira ni sababu za waliofeli....
Tunaona watu wanatoka ligi tofauti na wakija wanakipiga kama kawa, Sadio Mane katoka Epl kaenda Bundasliga anakiwasha kama kawa, Mcheki Haland anavyokipiga Man City...haya tutasema kule ni ulaya, turudi bongo, hawa kina kipre junior wametokea wapi, au wao hawajui cha mazingira, kina tupadinyo..Cheki wa Brazil wa Singida Big star au wao wamezaliwa bongo..Moses Phiri katoka kwao anafunga, kaja hapa anaendeleza yaleyale...
Tuacheni kutafuta sababu zisizo na tija.
Sent from my Nokia C1 using JamiiForums mobile app
Ukikaidi unapigwa wapiUmepigwa wapi?
Hapo sawa nadhani tunakubaliana sasa kwamba si mchezaji wa viwango vileee vya kutufanya tukeshe usiku kucha kumsubiri.....Ni bora godfather wa bunjumbura mara kumi kuliko KSawa kwahio unatakaje
Wewe umechukua mifano ya wale wachezaji ambao bahati nzuri upepo mzuri umewaangukia, hao wengine ambao kwa bahati mbaya mambo hayakwenda vizuri unawazungumziaje?Tuache kutafuta visababu, mpira kama unajua unajua tu mpira ni ule ule.....Hayo ya mazingira ni sababu za waliofeli....
Tunaona watu wanatoka ligi tofauti na wakija wanakipiga kama kawa, Sadio Mane katoka Epl kaenda Bundasliga anakiwasha kama kawa, Mcheki Haland anavyokipiga Man City...haya tutasema kule ni ulaya, turudi bongo, hawa kina kipre junior wametokea wapi, au wao hawajui cha mazingira, kina tupadinyo..Cheki wa Brazil wa Singida Big star au wao wamezaliwa bongo..Moses Phiri katoka kwao anafunga, kaja hapa anaendeleza yaleyale...
Tuacheni kutafuta sababu zisizo na tija.
Sent from my Nokia C1 using JamiiForums mobile app
Ndo hao kina K uwezo wa kawaidaWewe umechukua mifano ya wale wachezaji ambao bahati nzuri upepo mzuri umewaangukia, hao wengine ambao kwa bahati mbaya mambo hayakwenda vizuri unawazungumziaje?