Tuwe wakweli, kila mwanamke ana utamu wake

Nimefurahishwa na comments za weekend, talking about goodies!

Nauliza tu, kuna uhusiano gani kati utamu na sura? Maana wengi wenye sura za wajomba zao ni watamu balaa, wale wenye sura za apple wanaofurahisha macho huko kwingine Mungu anajua.
Muumba hajawahi kutupa vyote

Sent from my SM-A505F using JamiiForums mobile app
 
[emoji16][emoji16][emoji16] wow....kumbe
 

Mhhhh! Kumbe eh! Ngoja niangalie. Si unawajua wahuni wa JF huwa wakisikia mahali kuna asali basi nao wanataka uwape access wakailambe πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚

weekend imeanza kivingine kabsa

Nimecheka at the same time nasoma comments zilizopo mbavu sina..
Ni week ya Wanawake huku ya faragha pande ile rangi
🀣🀐
 
Hata siwezi kupingana na wewe mkuu mtoa uzi

Kwa kweli papuchi zipo tofauti radha na utamu wake na hata muonekano wake pia
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…