Tuwe wakweli, kwa siasa za huyu waziri AFCON 2027 itafanikiwa au tusubiri aibu?

Chakaza

Platinum Member
Joined
Mar 10, 2007
Posts
41,034
Reaction score
74,732
Tumeona maandalizi na utekelezaji wa mashindano makubwa ya AFCON kule Ivory Coast na ya Sasa Morocco yenye ufanisi mkubwa.

Sasa mwaka ufuatao nasi ni waandaaji pamoja na Kenya pia Uganda. Jee kwa kupewa uwaziri wa michezo Bwana Makonda wizara ambayo itaongoza na zingine katika kuratibu YATAWEZEKANA AU NI AIBU tuu inakuja tuisubiri?

Huyu jamaa mie naona hastahili kubeba mzigo huu mkubwa kwani yeye uwezo wake ni kutafuta KIKI tuu na kumtafutia sifa boss wake.

Tukumbuke haya ni mashindano ya kimataifa sio UMISETA hiyo na tukaaibika Dunia nzima kwa misimamo ya kisiasa.
 
Uliona aliyoyafanya arusha? huo ni mfano tu akiwa mkuu wa mkoa,itakuwa akiwa waziri? atafanya vizuri sana wewe subiri tu
 
Huyo hana lolote ni muuaji tu kama wauaji wengine waliojazana kwenye utawala huu.
 
Makonda anaweza kuwa na mapungu mengi ya kibinadamu lakini ni mchapa kazi mzuri japo anapenda sifa Kwa Kila analofanya
 
Issue inayohusisha mambo ya kimataifa haitoshi kusema ni mchapa kazi kama punda, bali mtu mtumia akili na maarifa makubwa.
Na sifa hiyo bwana Bashite hanayo kamwe Aslani na yote hayo yanachangiwa na ukosefu wa elimu huku akidhani anayo.
Yeye kabobea zaidi katika kutungia habari mbaya watendaji wengine ili apande yeye chati
 
Tumeona maandalizi na utekelezaji wa mashindano makubwa ya AFCON kule Ivory Coast na ya Sasa Morocco yenye ufanisi mkubwa.

Sasa mwaka ufuatao nasi ni waandaaji pamoja na Kenya pia Uganda. Jee kwa kupewa uwaziri wa michezo Bwana Makonda wizara ambayo itaongoza na zingine katika kuratibu YATAWEZEKANA AU NI AIBU tuu inakuja tuisubiri?

Huyu jamaa mie naona hastahili kubeba mzigo huu mkubwa kwani yeye uwezo wake ni kutafuta KIKI tuu na kumtafutia sifa boss wake.

Tukumbuke haya ni mashindano ya kimataifa sio UMISETA hiyo na tukaaibika Dunia nzima kwa misimamo ya kisiasa.
Hii ni fursa ya machawa na mafisi kupiga fedha tu. Aibu aibu aibu bila mwisho. Mpaka ajaze makalio yake.
 
Hv ishu ya ujenzi wa viwanja imeishia wapi?
Mana kipindi cha mwanzo kulikuwa na danadana za asilimia, mara uwanja huu leo ni 20% kesho 10% 😂
 
Back
Top Bottom