Uliona aliyoyafanya arusha? huo ni mfano tu akiwa mkuu wa mkoa,itakuwa akiwa waziri? atafanya vizuri sana wewe subiri tuTumeona maandalizi na utekelezaji wa mashindano makubwa ya AFCON kule Ivory Coast na ya Sasa Morocco yenye ufanisi mkubwa.
Sasa mwaka ufuatao nasi ni waandaaji pamoja na Kenya pia Uganda. Jee kwa kupewa uwaziri wa michezo Bwana Makonda wizara ambayo itaongoza na zingine katika kuratibu YATAWEZEKANA AU NI AIBU tuu inakuja tuisubiri?
Huyu jamaa mie naona hastahili kubeba mzigo huu mkubwa kwani yeye uwezo wake ni kutafuta KIKI tuu na kumtafutia sifa boss wake.
Tukumbuke haya ni mashindano ya kimataifa sio UMISETA hiyo na tukaaibika Dunia nzima kwa misimamo ya kisiasa.
Arusha alifanya nini!?Uliona aliyoyafanya arusha? huo ni mfano tu akiwa mkuu wa mkoa,itakuwa akiwa waziri? atafanya vizuri sana wewe subiri tu
Anyway,wewe hujui arusha na huwezi kujua,endelea na mawazo yakoArusha alifanya nini!?
Au unamaanisha kuwachomea 'wadudu' nyama!
Tunaeleweshana tu, sio kwa ubaya.Anyway,wewe hujui arusha na huwezi kujua,endelea na mawazo yako
Issue inayohusisha mambo ya kimataifa haitoshi kusema ni mchapa kazi kama punda, bali mtu mtumia akili na maarifa makubwa.Makonda anaweza kuwa na mapungu mengi ya kibinadamu lakini ni mchapa kazi mzuri japo anapenda sifa Kwa Kila analofanya
Hii ni fursa ya machawa na mafisi kupiga fedha tu. Aibu aibu aibu bila mwisho. Mpaka ajaze makalio yake.Tumeona maandalizi na utekelezaji wa mashindano makubwa ya AFCON kule Ivory Coast na ya Sasa Morocco yenye ufanisi mkubwa.