Tuwe wakweli kwamba Nyerere alifanya vibaya kuua Uhuru wa Tanganyika na kugawa rasilimali za Watanganyika kwa Wazanzibari wasiotaka vyao kuguswa

Mkuu unakiuka misingi ya ‘Logic’
Sijui kama unafahamu hilo.
 
Wapi nilikuambia kanuni z ujamaa wa Nyerere , ndio wasomi wa Leo wa University ya Dar mlivyo ?
Mkuu mimi nimeuliza swali, huenda sikuelewa jibu lako.

Ni ipi kanuni/misingi ya ujamaa wa Mwalimu?

(kama hujui hakuna ubaya kusema hujui, sio dhambi)
 
Niliokuandikia Mimi sikusoma ujamaa wa Nyerere wala sina haja nao nimeusoma kwa matendo yake ulivyotufikisha hii leo
 
Hatuongelei misingi ya logic , ukitaka fungua uzi
Sasa tutajadili nini hatutaweza kufikiri kiyakinifu mkuu?

Tutajenga vipi hoja nzuri bila kufuata ‘Logic’ na misingi yake mkuu?

Mimi naona ‘Logic’ ndiyo itatusaidia kujenga hoja za kweli bila kupendelea mkuu.
 
Niliokuandikia Mimi sikusoma ujamaa wa Nyerere wala sina haja nao nimeusoma kwa matendo yake ulivyotufikisha hii leo
Dah

Kwahiyo unauelewaje ujamaa toka miaka hiyo au ndiyo unaelewa kuwa ni mfumo ulioletwa kuwaonea Waislam?

(Nimeuliza tu mkuu)
 
Sasa tutajadili nini hatutaweza kufikiri kiyakinifu mkuu?

Tutajenga vipi hoja nzuri bila kufuata ‘Logic’ na misingi yake mkuu?

Mimi naona ‘Logic’ ndiyo itatusaidia kujenga hoja za kweli bila kupendelea mkuu.
Wewe ulitaka ushahidi wa Nyerere namna alivyoupiga vita uislamu nikakuwekea video Padri wa Kanisa lake kaandika , wewe unasema si kweli ni uongo , nimekuambia Kama niuongo si serikali wala kanisa ilipinga na kuvizuia vitabu. Sasa unaleta mambo ya logic . Logic ya kazi gani hapa na kila kitu kilo open .
 
Dah

Kwahiyo unauelewaje ujamaa toka miaka hiyo au ndiyo unaelewa kuwa ni mfumo ulioletwa kuwaonea Waislam?

(Nimeuliza tu mkuu)

Itakuwa yule Padri hukumsikiliza vizuri kwa mapenzi yako kwa Nyerere . Tulia umsikilize kwa kituo , Usi panic
 
Mkuu hakuna mahali nimesema ni uongo (kama ipo iweke hapa).

Pili hatuwezi kuamini moja kwa moja maneno ya kweny video na ya bwana Smith mkuu. Tunahitaji kupata hoja za upande mwingine na ‘case studies’ (kama zipo) ili kuthibitisha au kubatilisha madai ya Smith na wenziwe.

Mkuu kwahiyo leo nikiwa padri kisha nikaandika kitabu kuwa Serikali inawapendelea waislam, hiko kitabu kisipifwe marufuku na serikali au msikiti je, Utaamini nilichoandika?

Kipimo chako cha ukweli ni kupigwa au kutopigwa marufuku na serikali au kanisa?

Kama ndiyo basi kipimo chako cha ukweli ni dhalili sana.

Logic ndiyo mkombozi katika hili mkuu.
 
Nilimsikiliza vizuri mkuu, ila nina’question’ hoja zake na wala sizipingi kama unavyofikiri.
 
Ninachotaka toka kwako ni tufikiri kitunduifu (critically) tusiyachukue maneno ya Smith na wenzie kuwa ni kweli tupu.

Ninataka tuyapime, na hatuwezi pima kama hatuna data za upande wa pili zinazojaribu kuthibitisha vinginevyo mkuu.

Tupate data za pande zote kisha ndiyo tuamini ipi kweli ipi uongo.

Hayo ni maneno yako
 
Ni wapi sasa nilisema ni uongo? Mkuu
 
Ndiyo sipingi, ila ninauliza uhalali wa hoja zako mkuu
Uliandika

tusiyachukue maneno ya Smith na wenzie kuwa ni kweli tupu.

Jee kama si kweli tupu, kilichojalizwa ni kitu gani ?
 
😂😂😂aisee,Lovelovie njoo uone huku....Leo ninacho mom
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…