JumaKilumbi
JF-Expert Member
- Sep 7, 2022
- 432
- 507
Mkuu unakiuka misingi ya ‘Logic’Hivyo vitabu kama ni uongo visingaliuzwa na kanisa na Serikali ingalipiga marufuku. Kuna vitabu kama Zanzibar Revolution cha John Okello kilizuiwa kuuwa, kitabu cha Satanic verses kimepigwa marufuku . Wewe Kama unaona Mapadri walidanganya endelea kuamini . Uhuru Huo unao
Sijui kama unafahamu hilo.