Tuwe wakweli kwamba Nyerere alifanya vibaya kuua Uhuru wa Tanganyika na kugawa rasilimali za Watanganyika kwa Wazanzibari wasiotaka vyao kuguswa

Sisi hatuongelei ujamaa wa Algeria,Libya au kokote tunasoma namna Peter Smith alivyotuandikia kuhusu Nyerere na namna Kanisa lilivyomtumia kupiga vita uislamu na ukomunisti

Una hiari kukubali , kukataa hiyo ni choice yako.
Sisi tulioathirika na siasa zake na tunaoendelea kuathirika tunamwoma Nyerere ni mhusika Mkuu wa mateso yetu na Peter Smith hana alichokosea
 
Umeshiba damu ya yesu?
Mweee!! damu gani ya zeruzeru yule? kalemavu ka ngozi!! hako ka yesu kenu, ka-Arabu! kauza watumwa, kabepari, kapenda sifa za kijinga, kabeberu, kakoloni kale kam- jamaa!!

halafu karemboo! sijui kalitundikwaje Msalabani? na uzuri wote ule? kanapenda sifa za kuabudiwa na watumwa hakoo! hee! ...yaani kule usukumani ni mali, faster wasukuma wanachukua viungo ajili ya malighafi!

Sijui kakoje tamaa zimekajaa tuu!! wee! subiri tu, kakijipendekeza wala hata sikapigi makofi, nakaiba nakapeleka Shinyanga tu hapo, nakunja changu huyoo, hakataamini,

na ili kaje kakusimulie vizuri!! wee subiri tu si mnaongeaga?? make kaarabu kenzio kale....weye kwa kuwa unapenda sana waarabu unakaabudu!
 
tunamwoma Nyerere ni mhusika Mkuu wa mateso yetu na Peter Smith hana alichokosea
Nyerere yuko sahihi km mliuza watu kwa mateso! ! kwa nini nyie msiteswe?? unasahau Muoshwa huoshwa, tulieni tu nyau nyie!! hakuna namna na bado, nikija mie mtakoma........
 
Endelea kunywa damu ya Yesu, ndiyo furaha tu hizo za birthday zinakuchenguwa?
 
Nyerere yuko sahihi km mliuza watu kwa mateso! ! kwa nini nyie msiteswe?? unasahau Muoshwa huoshwa, tulieni tu nyau nyie!! hakuna namna na bado, nikija mie mtakoma........
Kwani Leo mchungaji alikukosha kanisani kwa damu ya Yesu?
 
Endelea kunywa damu ya Yesu, ndiyo furaha tu hizo za birthday zinakuchenguwa?
Alaaa! yaani wazanzi bara uelewa ni zero!..sinywi damu ya muarabu mie! nyie ndo mnatamani damu ya wa Africa wetu! tangu zamani kwanza weye ni mzungu tu! na muafirica huna lolote!

wenzako kule Morrocco wameukataa uafrica wanataka uzungu!! wazungu wamewakataa!! na africa hatuwataki tena!! sasa hawana pa kwenda!!
 
Basi endelea kulambishwa asali Lumumba na mwarabu
 
Zbr mnawasema vibaya tu, I have bn there several times , mbona sijayaona hayo mnayolalamikia.
 
Afadhali ulambe asali ya mu-Africa mwenzangu! kuliko kuwa meneja kwa mtu anaye ni dhalilisha!
Asali anakulambisha mwarabu Lumumba unaita mwafrika ? Kweli mwalabu kakuroga Lumumba
 
Asali anakulambisha mwarabu Lumumba unaita mwafrika ? Kweli mwalabu kakuroga Lumumba
hata hujui mwarabu ni nani! lini wapi kwa nini!!......... umekariri madrassa tu!! nyie ni wazungu! siyo waarabu hili jina la kiarabu mmeliiba!! rudini Ulaya kwa baba zenu hamataki mnataka hapa!! lilibaki ni kuwachapa tu bakora mwende kwenu!
 
hata hujui mwarabu ni nani! lini wapi kwa nini!!......... umekariri madrassa tu!! nyie ni wazungu! siyo waarabu hili jina la kiarabu mmeliiba!! rudini Ulaya kwa baba zenu hamataki mnataka hapa!! lilibaki ni kuwachapa tu bakora mwende kwenu!
Huyo Mwenyekiti wako ni mwafrika? Si anakulambisha asali , unakuja kujamba humu kwa jeurihuku hata unachokiandika hakijulikani
 
Nakumbuka zamani sekondari Mwalimu alituuliza Muungano ukivunjika Tanganyika tutapata hasara gani? Tukajadili weee, tukahitimisha kuwa tutamisi tu jina Tanzania ambalo kimsingi hata ukivunjika tunaweza endelea kulitumia. Huu Muungano ni wa kindugu na prestige zaidi kuliko faida za kiuchumi na kiusalama kama wanasiasa wanavyo dai. Yote kwa yote tulipofikia Muungano kuuvunja ni ngumu, kuna mwingiliano mkubwa sana wa watu wa bara na visiwani kwa sasa.
 
Kwani Mombasa iliyokuwa ni sehemu ya Zanzibar watu hawajaingiliana zaidi ya Tanganyika? Mbona imekwenda Kenya na ni salama? Mbona wamasai wa Kenya na Tanganyika ni kabila moja na nchi ni mbili , the same kwa wajaluo na makabila mengine?
 
Nyerere kwenye huu muungano alifanya makosa mengi na kutudhulumu Wabara, Lakini hayo makosa yameshafanyika tunayajua ni part of History, sisi ndio tunao takiwa kujaribu kusawazisha.

Ni wajibu wetu kuwa pawe na usawa la sivyo muungano urekebishwe.
 
Uvunjwe tuu maana kila upande upambane na yakr
 
Taifa na watu wenye historia na wenye ustaarabu mkongwe (ancient civilisation) kama ilivyo Zanzibar huwezi kuwafutia utambulisho wao hata siku moja.

Inaweza ikapita miaka (hata karne) na zikafanywa hila na mbinu nyingi na hata kutumia nguvu na ukandamizaji lakini hata siku moja watu hawataacha kupambania nchi yao na utambulisho wao.

Kwa sasa watawala tulio nao Zanzibar hawana ujasiri na hata hisia kuhusiana na kusimamia haki za Zanzibar lakini uzuri Wazanzibari wenyewe wanajitambua.

Wachilia mbali mambo makubwa yaliyowekwa kwenye kapu la Muungano kama yale yanayohusu mahusiano ya kimataifa, uraia, uhamiaji, sarafu, mabenki na fedha, ushuru wa forodha, ushuru wa bidhaa na kodi, usafiri na usafirishaji wa anga, posta na simu, elimu ya juu, baraza la mitihani, mafuta na gesi asilia, na leseni za viwanda, leo tumefika hadi hata vijana wetu ambao wamejaaliwa vipaji vya kupigiwa mfano katika michezo mbali mbali na wanaoweza kusimama popote kushindana na wakashinda, wanakosa fursa tele kwa sababu tu Zanzibar haiwezi kujiwakilisha kimataifa hata kwa mambo yasiyo ya Muungano kama michezo.

Ni kwa ajili ya vizazi vyetu vya sasa na vijavyo tutaendelea kupaza sauti zetu na kuhakikisha Zanzibar inasimama tena wima na kurudisha hadhi, heshima na mamlaka yake kama taifa miongoni mwa mataifa duniani na kuweza kutumia mamlaka yake kubadilisha maisha ya watu wetu.

Historia iko upande wetu kwamba dhulma siku zote haijawahi kuishinda haki. Ni suala la muda tu.

ZANZIBAR KWANZA, LEO NA KESHO!
 

Attachments

  • 46E82D4F-D304-47B5-871B-AC555B620012.jpeg
    68.2 KB · Views: 7
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…