Tuwe wakweli kwamba Nyerere alifanya vibaya kuua Uhuru wa Tanganyika na kugawa rasilimali za Watanganyika kwa Wazanzibari wasiotaka vyao kuguswa

Tuwe wakweli kwamba Nyerere alifanya vibaya kuua Uhuru wa Tanganyika na kugawa rasilimali za Watanganyika kwa Wazanzibari wasiotaka vyao kuguswa

Mkuu, usipoyachukilia kama kweli tupu inatuweka huru kutokukubali kila alichosema.

Tusipoyachukulia kama kweli tupu maana yake tunajipa nafasi ya kuyatafakari na kuupata ukweli.

Tatizo langu kubwa na wewe hapa ni kwamba unayaamini maneno ya Smith na wenzie kama kweli tupu na chochote dhidi yake ni uongo.

Ilhali mimi nayaona kama maoni yake ambayo siyakubali wala siyapingi ila ninajipa nafasi ya kuyachunguza ili kuupata ukweli tupu. Na ndiyo maana nilikwambia tukibaini yana ukweli niko tayari kubadili msimamo wangu.

Sijui kama umenielewa hapo mkuu.

Kwa kujipa nafasi hapo sasa ndiyo tunaanza ku-question uhalisia wa kilichotokea si kwa kuegemea kwenye maneno yake pekee bali ni kwa kuyaangalia mambo kama yalivyo. Maneno yake tunayatumia kama dokezo katika kuutafuta ukweli.

  • Tunaangalia ujamaa ni nini na misingi yake (achilia mbali madai yake kuwa ni mfumo wa kanisa)
  • Tunaangalia ktk ufilisi je, Waislam walilengwa kwa dini zao au ilikuaje?
  • Je, Wakristo walifilisiwa au la?
  • Je, ujamaa ktk nchi zenye Waislam wengi nani aliupeleka? Na kumfilisi nani?
  • Je,, ktk nchi zenye Wakristo wengi nani aliupeleka na ili kumfilisi nani?

Tukipata majibu ya maswali haya tunakuwa kwenye nafasi nzuri aidha kukubali madai ya Smith kuwa kanisa ndiyo iliratibu ujamaa au la.

Mkuu ungeufahamu ujamaa kimsingi tusingepata tabu kuutenganisha na kanisa hivi sasa.

Ujamaa si rafiki kwa dini yeyote ila chama cha kijamaa na viongozi wake waliojipa nafasi ya Mungu mtu.

Tupo pamoja mkuu?
Sisi hatuongelei ujamaa wa Algeria,Libya au kokote tunasoma namna Peter Smith alivyotuandikia kuhusu Nyerere na namna Kanisa lilivyomtumia kupiga vita uislamu na ukomunisti

Una hiari kukubali , kukataa hiyo ni choice yako.
Sisi tulioathirika na siasa zake na tunaoendelea kuathirika tunamwoma Nyerere ni mhusika Mkuu wa mateso yetu na Peter Smith hana alichokosea
 
Umeshiba damu ya yesu?
Mweee!! damu gani ya zeruzeru yule? kalemavu ka ngozi!! hako ka yesu kenu, ka-Arabu! kauza watumwa, kabepari, kapenda sifa za kijinga, kabeberu, kakoloni kale kam- jamaa!!

halafu karemboo! sijui kalitundikwaje Msalabani? na uzuri wote ule? kanapenda sifa za kuabudiwa na watumwa hakoo! hee! ...yaani kule usukumani ni mali, faster wasukuma wanachukua viungo ajili ya malighafi!

Sijui kakoje tamaa zimekajaa tuu!! wee! subiri tu, kakijipendekeza wala hata sikapigi makofi, nakaiba nakapeleka Shinyanga tu hapo, nakunja changu huyoo, hakataamini,

na ili kaje kakusimulie vizuri!! wee subiri tu si mnaongeaga?? make kaarabu kenzio kale....weye kwa kuwa unapenda sana waarabu unakaabudu!
 
tunamwoma Nyerere ni mhusika Mkuu wa mateso yetu na Peter Smith hana alichokosea
Nyerere yuko sahihi km mliuza watu kwa mateso! ! kwa nini nyie msiteswe?? unasahau Muoshwa huoshwa, tulieni tu nyau nyie!! hakuna namna na bado, nikija mie mtakoma........
 
Mweee!! damu gani ya zeruzeru yule? kalemavu ka ngozi!! hako ka yesu kenu, ka-Arabu! kauza watumwa, kabepari, kapenda sifa za kijinga, kabeberu, kakoloni kale kam- jamaa!!

halafu karemboo! sijui kalitundikwaje Msalabani? na uzuri wote ule? kanapenda sifa za kuabudiwa na watumwa hakoo! hee! ...yaani kule usukumani ni mali, faster wasukuma wanachukua viungo ajili ya malighafi!

Sijui kakoje tamaa zimekajaa tuu!! wee! subiri tu, kakijipendekeza wala hata sikapigi makofi, nakaiba nakapeleka Shinyanga tu hapo, nakunja changu huyoo, hakataamini,

na ili kaje kakusimulie vizuri!! wee subiri tu si mnaongeaga?? make kaarabu kenzio kale....weye kwa kuwa unapenda sana waarabu unakaabudu!
Endelea kunywa damu ya Yesu, ndiyo furaha tu hizo za birthday zinakuchenguwa?
 
Nyerere yuko sahihi km mliuza watu kwa mateso! ! kwa nini nyie msiteswe?? unasahau Muoshwa huoshwa, tulieni tu nyau nyie!! hakuna namna na bado, nikija mie mtakoma........
Kwani Leo mchungaji alikukosha kanisani kwa damu ya Yesu?
 
Endelea kunywa damu ya Yesu, ndiyo furaha tu hizo za birthday zinakuchenguwa?
Alaaa! yaani wazanzi bara uelewa ni zero!..sinywi damu ya muarabu mie! nyie ndo mnatamani damu ya wa Africa wetu! tangu zamani kwanza weye ni mzungu tu! na muafirica huna lolote!

wenzako kule Morrocco wameukataa uafrica wanataka uzungu!! wazungu wamewakataa!! na africa hatuwataki tena!! sasa hawana pa kwenda!!
 
Basi endelea kulambishwa asali Lumumba na mwarabu
 
Zanzibar Wana nn cha ajabu ? Waacheni msifike kabisa yaani mshajua tabia za watu bado mnawafuata tu ..Mi Zanzibar na kanda ya kaskazini ni mwiko kufika wanajisikia sana japo nishafika ila nikawajua tabia zao yaani wanafanana wakikujua tu unatoka nje wa jamii zao umeisha.
Zbr mnawasema vibaya tu, I have bn there several times , mbona sijayaona hayo mnayolalamikia.
 
Afadhali ulambe asali ya mu-Africa mwenzangu! kuliko kuwa meneja kwa mtu anaye ni dhalilisha!
Asali anakulambisha mwarabu Lumumba unaita mwafrika ? Kweli mwalabu kakuroga Lumumba
 
Asali anakulambisha mwarabu Lumumba unaita mwafrika ? Kweli mwalabu kakuroga Lumumba
hata hujui mwarabu ni nani! lini wapi kwa nini!!......... umekariri madrassa tu!! nyie ni wazungu! siyo waarabu hili jina la kiarabu mmeliiba!! rudini Ulaya kwa baba zenu hamataki mnataka hapa!! lilibaki ni kuwachapa tu bakora mwende kwenu!
 
Huyo Mwenyekiti wako ni mwafrika? Si anakulambisha asali , unakuja kujamba humu kwa jeurihuku hata unachokiandika hakijulikani
 
Nakumbuka zamani sekondari Mwalimu alituuliza Muungano ukivunjika Tanganyika tutapata hasara gani? Tukajadili weee, tukahitimisha kuwa tutamisi tu jina Tanzania ambalo kimsingi hata ukivunjika tunaweza endelea kulitumia. Huu Muungano ni wa kindugu na prestige zaidi kuliko faida za kiuchumi na kiusalama kama wanasiasa wanavyo dai. Yote kwa yote tulipofikia Muungano kuuvunja ni ngumu, kuna mwingiliano mkubwa sana wa watu wa bara na visiwani kwa sasa.
 
Kwani Mombasa iliyokuwa ni sehemu ya Zanzibar watu hawajaingiliana zaidi ya Tanganyika? Mbona imekwenda Kenya na ni salama? Mbona wamasai wa Kenya na Tanganyika ni kabila moja na nchi ni mbili , the same kwa wajaluo na makabila mengine?
 
Kumlaumu mchonga kwa mapungufu yetu kujikomboa ni upoyoyo wa hali ya juu.

Tunayo haki ya kukataa na kushinikiza lolote. Migomo, maandamano na mikutano ya kisiasa ni haki yetu kwa mujibu wa katiba.

Tumlaumu mchonga kwa sisi wenyewe kushindwa kuisimamia katiba? Kwa mwendo huu hata tukiwa na katiba yoyote tusipoangalia tutaendelea kuwa wapuuzi tu.

Tujilaumu sisi wenyewe kwa uzezeta wetu ndugu kwani:

Vyama vya Siasa havijui au vimesahau wajibu wao?
Nyerere kwenye huu muungano alifanya makosa mengi na kutudhulumu Wabara, Lakini hayo makosa yameshafanyika tunayajua ni part of History, sisi ndio tunao takiwa kujaribu kusawazisha.

Ni wajibu wetu kuwa pawe na usawa la sivyo muungano urekebishwe.
 
Taifa na watu wenye historia na wenye ustaarabu mkongwe (ancient civilisation) kama ilivyo Zanzibar huwezi kuwafutia utambulisho wao hata siku moja.

Inaweza ikapita miaka (hata karne) na zikafanywa hila na mbinu nyingi na hata kutumia nguvu na ukandamizaji lakini hata siku moja watu hawataacha kupambania nchi yao na utambulisho wao.

Kwa sasa watawala tulio nao Zanzibar hawana ujasiri na hata hisia kuhusiana na kusimamia haki za Zanzibar lakini uzuri Wazanzibari wenyewe wanajitambua.

Wachilia mbali mambo makubwa yaliyowekwa kwenye kapu la Muungano kama yale yanayohusu mahusiano ya kimataifa, uraia, uhamiaji, sarafu, mabenki na fedha, ushuru wa forodha, ushuru wa bidhaa na kodi, usafiri na usafirishaji wa anga, posta na simu, elimu ya juu, baraza la mitihani, mafuta na gesi asilia, na leseni za viwanda, leo tumefika hadi hata vijana wetu ambao wamejaaliwa vipaji vya kupigiwa mfano katika michezo mbali mbali na wanaoweza kusimama popote kushindana na wakashinda, wanakosa fursa tele kwa sababu tu Zanzibar haiwezi kujiwakilisha kimataifa hata kwa mambo yasiyo ya Muungano kama michezo.

Ni kwa ajili ya vizazi vyetu vya sasa na vijavyo tutaendelea kupaza sauti zetu na kuhakikisha Zanzibar inasimama tena wima na kurudisha hadhi, heshima na mamlaka yake kama taifa miongoni mwa mataifa duniani na kuweza kutumia mamlaka yake kubadilisha maisha ya watu wetu.

Historia iko upande wetu kwamba dhulma siku zote haijawahi kuishinda haki. Ni suala la muda tu.

ZANZIBAR KWANZA, LEO NA KESHO!
 
Attachments

  • 46E82D4F-D304-47B5-871B-AC555B620012.jpeg
    46E82D4F-D304-47B5-871B-AC555B620012.jpeg
    68.2 KB · Views: 7
Back
Top Bottom